Kukabiliana na msongo wakati wa COVID-19
Ni kawaida kuwa na huzuni, sonona, kuchanganyikiwa, kuogopa au hasira wakati wa majanga. Kuongea na watu unaowaamini husaidia. Wasiliana na marafiki na familia. Kama utakaa nyumbani, dumisha mfumo wa maisha wenye afya- ikiwemo mlo bora, kulala, mazoezi na mawasiliano ya kijamii na uwapendao nyumbani na barua pepe au simu kwa familia na marafiki. Usivute sigara, [...]